Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

MWANA FA AFUNGUKA HAYA KUHUSU VIDEO YA “DUME SURUALI”


Jana November 21 ndio siku ambayo iliachiwa audio ya wimbo mpya wa mkali wa Hiphop kutoka Bongo Tanzania Mwana FA “Dume Suruali” ambao kafanya na mwanadada Vanessa Mdee.
Kwenye kipindi cha XXL cha Clouds fm ndipo ngoma hiyo ilizinduliwa rasmi na mwanadada Vanessa Mdeeakatusanua kuwa kichupa cha ngoma hiyo kitaachiwa rasmi leo katika mitandao ikiwa ni tayari imekwisha wasilishwa katika vituo mbali mbali vya Televisheni ikiwemo Clouds TV.

No comments:

Powered by Blogger.