Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MWILI WA BONDIA THOMAS MASHALI WAAGWA LEO LEADERS CLUB,KUZIKWA JIONI YA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

MWILI WA BONDIA THOMAS MASHALI WAAGWA LEO LEADERS CLUB,KUZIKWA JIONI YA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

| No comment

Ndugu Jamaa na Marafiki wakipokea Sanduku lenye mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali ukiwasili katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar Es Salaam,Marehemu Thomas Mashali ambaye mazishi yake yanatarajiwa kufanyika jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni.Mashali alifariki mwishoni mwa wiki kwa kuuwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara,jij

Ndugu Jamaa na Marafiki wakipokea Sanduku lenye mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali ukiwasili katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar Es Salaam
Sehemu ya Waombolezaji wakijianda kwenda kuaga na kutoa heshima zao za mwisho .

Ndugu Jamaa na Marafiki wakitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Marehemu,Bondia Thomas Mashali aliefariki mwishoni mwa wiki kwa kuuwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara,jijini Dar .


Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki wakiwa wamejipanga mstari tayari kwa kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Marehemu,Thomas Mashali mapema leo kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar. 
Gari lililobeba mwili wa Marehemu Thomas Mashali likiwasili katika viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho kwa watu mbalimbali.