Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Namchukia Mwanaume Aliyenipa Mimba - Nisha Bebe

Namchukia Mwanaume Aliyenipa Mimba - Nisha Bebe

| No commentMsanii wa bongo movie Nisha Bebe amesema ujauzito wake unampa hisia tofauti na mawazo mpaka anafikia hatua ya kupost mambo tofauti tofauti kwenye mitandao yake kwa kuwa hampendi mwanaume aliyempa ujauzito huo.

Akiongea ndani ya eNewz Nisha amesema amevumilia miezi mitano bila mtu kujua kitu chochote juu ya mimba yake lakini kwa sasa ameshindwa kuvumilia na hiyo ni kutokana na maumivu anayoyapata na kwamba mimba aliyoibeba ni ya mtu ambaye hampendi tena.


Pia Nisha amesema mwanaume aliyempa mimba ni mtu ambaye anapenda kujionesha sababu ambayo ilipelekea wakaachana pia Nisha amesema anamuomba Mungu mtoto wake asifanane na baba yake na kama ikitokea akifanana naye hatakuwa budi ya kumficha bali atampa mtoto wake kila anachokitaka kwa kuwa mtoto hana kosa lolote.