Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Nisha Bebee Afunguka Tena Kuhusu Mimba yake, Aongelea Mazingira ya Kubakwa Yaliyomtokea Mpaka Kupata Mimba

Nisha Bebee Afunguka Tena Kuhusu Mimba yake, Aongelea Mazingira ya Kubakwa Yaliyomtokea Mpaka Kupata Mimba

| No commentMwigizaji Nishabebee Anaendelea kufunguka kuhusu ujauzito wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Hapa chini ameongelea mazingira aliyopata hiyo mimba:


"Mtu pekee anayejua ukweli ni mimi.. pengine kweli nimekosea kwa kuweka hapa na kusema nanunua hadi sabuni ya boxer.

Ila kama ungevaa kiatu changu ungejua nnayopitia wkt huu.
coz ni kipindi ambacho siwezi vumilia kero wacha niwe mkweli wa hili,ni bora uwe na mtu ambaye mko kwenye mahusiano ndo akakupa mimba,kuliko hamko kwenye mahusiano akatumia rafiki zako anataka kukuona then kwa suprise akaja ukashindwa mfukuza coz hamkuachana kwa ugomvi na was like hamna kinachoendelea then rafiki yako alipoondoka akakubaka kisa tu ana nguvu za kukumiliki na anajua udhaifu wako.

Kinachoniuma zaidi zaidi ni kuwa kwenye mahusiano mengine na kupata mimba ya mwengine wakati uhusiano ulikwisha kwisha na akamove on na mwingine na mm niko ok kwa hilo ilhali yalisemwa mengi ya uongo na mm nikajitajidi kutofichua siri za niliyewahi kumpenda.
i've been through a lot... FUC.K U AND I HATE U FOR THIS" Nisha