Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

PICHA 18: Muonekano wa Mwezi ulivyoikaribia dunia leo

Leo November 14, 2016 wananchi kutoka maeneo mengi duniani wameshuhudia tukio la mwezi kushuka chini zaidi ambapo umeonekana kuwa mkubwa kuliko ambavyo huonekana, tukio hili linatokea ikiwa ni tangu ilipotokea mwaka 1948.
Nchi ya Uingereza imekuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuuona mwezi huo jioni ya leo Jumatatu, licha ya kuwa umeikaribia dunia zaidi kwa mwendo wa masaa matano na dakika 21 ambapo mwezi huo unakuwa umbali wa kilomita 356,509 kutoka usawa wa Ardhi duniani.
Kwa mujibu wa  idara ya hali ya hewa nchi Uingereza Tukio la mwezi kuikaribia dunia litatokea tena tarehe 25 mwezi November 2034.
_92428498_davidmurton3
_92428501_roy_mcdonald
_92428504_zsolt_berend_2
_92428727_marcusrobinson
_92428730_priyanka_paltanwale_3
_92428733_rachel_rose
_92428735_toshiebarth
_92429167_jonathanpotten
_92429170_ianharris
_92429173_keithlawson
_92429176_gerrygutteridge
_92429652_edwinjones
_92429655_davidjgreer
_92429658_lornaabrahams
mwezi-2
mwezi-3
mwezi-4No comments:

Powered by Blogger.