Header Ads

PICHA ZA TUKIO LA MAUAJI YA MTOTO ALIYE CHINJWA KAMA KUKU MBAGALA DAR ES SALAAM.

Katika hari ya sintofahamu mtummoja aliyefahamika kwa jina la ustadhi mohamed, amesadikika kumchinja kama kuku mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la Jamali katika maeneo ya mbagara jijini Dar es salaam na baada ya tukio hilo inaarifiwa kuwa wananchi wenye hasira kali nao waliweza kumshambulia
hustadhi huyo hadi kumpelekea mauti kumfika.
Hapa mwili wa marehemu Jamali ukipelekwa hospitali kwaajili ya uchunguzi zaidi.

Majirani na wanandugu wakiwa katika hari ya uzuni.
Baadhi ya mashuhuda wakichungulia katika chumba cha tukio
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.