Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Picha:Vera Sidika Aonyesha Nyumba yake na Gari Analomiliki ni ‘Kufuru’

Picha:Vera Sidika Aonyesha Nyumba yake na Gari Analomiliki ni ‘Kufuru’

| No comment

Mrembo maarufu wa Kenya, Vera Sidika ameonyesha kuwa na yeye ni miongoni mwa mastaa wanaomiliki vitu vya thamani.

Kupitia mtandao wa Instagram, Vera ameuonyesha mjengo wa kifahari anaoumiliki pamoja na gari aina ya Range Rover na kuwaacha mashabiki mdomo wazi.“I still remember the days I prayed for the things I have now. Just believe in the person you want to be and then work hard for it. Because the Limit to your abilities is where you set them. Have a productive week ahead. 👑QVB👑,” aliandika Vera kwenye picha aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Hatua hiyo ya mrembo huyo kuonyesha mali zake hizo imeonekana ni kama amemkejeli hasimu wake Huddah Monroe.

“I wonder why Huddah sees Vera as a. Challenge??? The beef is real.. Am happy my queen is more matured than her =, ignoring her to the fullest,” amecomment mmoja wa mashabiki kwenye picha hiyo.