Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

RAIS WA ZAMANI ALIPOKUTANA NA MKUU WA WILAYA MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA LIVE!!


"Leo nimepata bahati ya kukutana na Rais Mstaafu wa awamu ya 3 Tanzania Mzee Benjamin Mkapa. Kama kijana niliepata bahati kutumikia nchi yangu , leo nimevuna mengi toka kwa Mzee Mkapa. Wazee ni hazina yetu na hatuna budi kuchota busara zao kila tukutanapo nao."

No comments:

Powered by Blogger.