Header Ads

Selfie ya Diamond Akiwa na Kiboxer Yasababisha Povu Zito InstagramDiamond Platnumz ni bingwa wa kusababisha povu kwenye mitandao ya kijamii. Jumanne hii alisababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi.

Kwenye picha hiyo, Diamond aliandika: Straight from the Changing room!…I think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m 24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.


Licha ya kufunika kwa emoji kwenye eneo la sehemu zake za siri, selfie hiyo imesababisha hisia tofauti huku wengi wakimponda staa huyo kwa kukosa staha.


Hizi ni baadhi ya comments:


isaac_siame: @diamondplatnumz sitaki kuamini kama mawaziri kama nape au makamba watatamani kuja tena wcb kuonana namsanii wa namna hii, hii itakucost au imekucost tayari @babutale busara zako azijatumika kushauri hii naanza kuona misingi ya heshima ulioitunza kwa mda mrefu ikipotea


tausizehemasaleh: You ‘ve a beautiful soul but I think sometimes you go over board,remember to much is given .much is expected,I respect the path Mom Tee is taking,don’t neglect her advices,you may need them sometimes,Big love small bro


yahyakiwera8646: Nduguyangu nakuusia usidanganyike nahizi like nacomment kumbuka weweni muislamu nautazikwa kiislamu kuogope mungu kwanza niharamuvhizo tatoo ukiswali swalazako haziswihii ukiogajanaba halitoki nduguyangu unapotea HAWA wanao like wote kaburini hatakuwepo utakua pekeyako namatendoyako iwemazuri au mabaya je utaponaa? Ilahuu WANGU niukumbushotu kwako nikutakie mabadiliko usijekusema hukuambiwa buree miminisha kuambia


swaum1140: Mmmm jaman mm hapo hapan nasibu sio nzuri hyo pic kwa kweli kumbuka wew ni baba now sio pich nzur kumbuka IPO cku tifa ataiona alaf itakua aibu kubwa uxifany hvy bhana hapo mm sijapenda kabisaaa


ommie_latino26: Bro huo ni ujinga una familia sasa ina maana hapo tiffah aje aone dudu ya baba au


its_mancrowdtz: Endeleeni kukaa uchi kusuka kuchora tattoo na upuuzi mwngne..kibaya zaidi watu wanawafuata nyinyi km ma role model kwahy dhambi atakayofny kwa kuwaiga nyie mnaandikiwa na nyinyi…mtu anaefanya uovu hadharani ana hasara kubwa kuliko yule anaefny kwa kujificha@officialalikiba@diamondplatnumzšŸ˜­šŸ˜­Allah awaongoze kwakweli


nelyhassan: Huyu ni shetani hata muziki siku hizi hana pole kaka umebadilika sana sio diamond yule wa kitambo duh huruma jamani

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.