Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

SIKILIZA Wimbo Mpya wa Rich Mavoko Aliyomshirikisha Diamond Platnumz


Nyingine kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) ambapo zamu hii Rich Mavoko amemshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo unaoitwa Kokoro.

Diamond sasa anakuwa amefanya nyimbo na wasanii wake wote wa WCB ambapo awali alianza kufanya wimbo na Harmonize unaoitwa Bado, kisha akafanya Salome aliyomshirikisha Rayvanny na sasa ameshirikishwa na Rich Mavoko
https://soundcloud.com/user-712359604/rich-mavoko-ft-diamond-platnumz_kokoroko_prod-by-lizer-classic-abby-dady

No comments:

Powered by Blogger.