Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Spika Amcharukia Mbunge Aliyetumia Kauli ya Gwajima

Spika Amcharukia Mbunge Aliyetumia Kauli ya Gwajima

| No comment


Spika wa Bunge, Job Ndugai jana aligeuka mbogo bungeni baada ya Mbunge wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga kutumia kauli ya Askofu Josephat Gwajima kumuuliza spika, “amekula maharage ya wapi?”

Kauli hiyo, “umekula maharage ya wapi” ilipata umaarufu Machi mwaka jana baada ya kutolewa na Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na baadaye kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kumlenga Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Kama ilivyotokea kwa Gwajima kushtakiwa kwa tuhuma za kutoa kauli hiyo na nyingine zilizosambaa mitandaoni, Mbunge huyo alijikuta akiitumia kauli hiyo kumuuliza Spika Ndugai wakati wa kikao cha Bunge na kuishia kupewa onyo kali.