Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Staili Nyingine Yaibuka Sakata la Godbless Lema

Staili Nyingine Yaibuka Sakata la Godbless Lema

| No comment


Arusha. Sakata la mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema dhidi ya vyombo vya dola limeendelea kwa staili nyingine ya kushindwa kumpeleka mahakamani jana kujibu tuhuma za uchochezi dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Lema amesota rumande kwa siku 13 ambazo ni sawa na saa 312.

Mbunge huyo amekuwa kwenye msukosuko wa kisheria na Jamhuri iliyomshtaki kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi na mapema wiki hii alipewa dhamana ambayo haikufanikiwa baada ya mawakili wa Serikali kuwasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa kabla ya hakimu kuruhusu kutekelezwa kwa utaratibu wa dhamana.