Header Ads

TAZAMA PICHA 5 ZA DVJ ALLY B WA MAISHA BASEMENT ANAYESUMBUA JIJI LA MAKONDA...HUYU NDIYE DJ PEKEE ANAYEMILIKI CHUO CHAKE

DJ Ally B ni Dj mkali sana kwa hapa Tz ni Dj ambaye ana uwezo mkubwa sana akiwa kwenye Mashine, Ni Dj mwenye kipaji cha hali ya Juu ambaye ukiwa club au mahali ambapo yeye anapiga mziki huwezi kuboreka hata kidogo, Na pia Dj Ally B anamiliki chuo cha kufundisha Djs ambapo wewe kama unapenda kujua fani hii unaweza kuwasiliana naye kupitia 0714017595


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.