Header Ads

Updates: Watu 76 Wamethibitika Kufariki Dunia na 5 Kunusurika Katika Ajali ya NdegeWatu 76 wamethibitika kufariki dunia na 5 kunusurika baada ya ndege ya wachezaji kutoka Brazil kuanguka asubuhi ya leo. Kati ya waliofariki 22 ni Waandishi wa Habari.

Timu Atl├ętico Nacional ambayo ilipaswa kucheza wa kwanza wa fainali dhidi ya timu ya Chapeonense yaomba Shirikisho la Soka barani Amerika Kusini(CONMEBOL) kukabidhi kombe kwa timu hiyo.

Msemaji wa Uwanja wa Ndege wa Medellin Bwana Jose Maria Cordova amesema kuwa ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya hewa katika ukanda huo, kwani kupitia Sattelite radi na mawingu mazito yalionekana katika anga.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.