Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili

VIDEO: Vurugu zaibuka kanisani Arusha, Bwana Harusi akidaiwa kufunga ndoa ya pili

| No comment
Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili zilizokuwa zikivutana upande mmoja ukidai bwana harusi anafunga ndoa ya pili na Bibi harusi aitwaye Agnes Kaaya.
Ndoa hiyo iliyokuwa ikifungwa majira ya mchana iliingia dosari  baada  mwanamke aliyejulikana kwa jina la Aneth Kimaro akiwa na kundi na watu mbalimbali wakiwemo watoto wake kudai kuwa Bwana Harusi ni mume wake wa ndoa.
Vurugu iliendelea kwa saa mbili zaidi kuanzia saa nane hadi za kumi jioni huku waumini wa pande zote mbili wakirushiana maneno makali mpaka polisi wa kutuliza ghasia kituo cha usa river kuingilia kati na kuwakamata kundi lililovamia kanisani hapo akiwemo mke wa zamani, Aneth Kimaro ambao kwa pamoja wanashikiliwa na polisi wa kituo cha polisi Usa river.
Akizungumzia tukio hilo Bwana harusi, Ngarame Meena alikiri kumtambua Aneth Kimaro kama mke wake wa ndoa lakini alisema waliaachana kutokana na ndoa yao kutawaliwa na migogoro mikubwa na yeye kuamua kukimbilia mahakamani kuiomba mahakama ivunje ndoa hiyo ambayo ilifungwa mwaka 1993.
AAidha ameongeza kuwa ndoa yake ilikumbwa na migogoro mingi tangu mwaka 1996 na ameshasuluhisha maeneo mbalimbali ikiwemo kwa mkuu wa wilaya ya Arusha, Meru na baraza la kata la ndoa bila mafanikio baadaye aliamua kwenda mahakamani kuomba ndoa hiyo ivujwe na ilipofika November 27  2015 mahakama ilitoa hati ya kuvunja ndoa hiyo na yeye kuwa huru kufunga ndoa nyingine.