Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / WAPENZI WAFUNGA HARUSI WAKIWA NDANI YA JENEZA, ANGALIA HAPA PICHA HIZI USHANGAE

WAPENZI WAFUNGA HARUSI WAKIWA NDANI YA JENEZA, ANGALIA HAPA PICHA HIZI USHANGAE

| No comment
Maharusi wengi hutamani siku ya harusi kuwa siku ya kitofauti zaidi katika maisha yao wakiamini ndio siku pekee ambayo ni ya furaha zaidi huku wengine wakitumia kila aina ya njia kuhakikisha sherehe yao inapendeza.
Utakuta wengine wanatumia usafiri wa farasi au magari ya kifahari kuhakikisha tu sherehe inakuwa ya kipekee zaidi kwao lakini kwa Jenny Buckleff ilikua tofauti kwani yeye alitumia jeneza kama usafiri wake.
Jenny alitaka kuwashangaza wageni waliofika kwenye sherehe yake hata kwa mumewe pia kwani hakumwambia mtu yoyote kuhusu uamuzi wake huo.
Siku ya sherehe aliingia ukumbini akiwa ndani ya jeneza lililokuwa likisikumwa kwa pikipiki huku kila mmoja akishikwa na butwaa kutokana na kitendo hicho ambacho si rahisi kutokea.