Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / WIZKID BAADA YA KUNYANG'ANYWA TUZO YA ALI KIBA BADO AZIDI KUTISHA,SASA KUJA HIVI

WIZKID BAADA YA KUNYANG'ANYWA TUZO YA ALI KIBA BADO AZIDI KUTISHA,SASA KUJA HIVI

| No comment


Kismart cha star wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkd kinazidi kushine baada ya mwimbaji wa R&B kutoka Marekani Alicia Keys kuthibitisha kwenye interview yake na mtangazaji Ebro kwenye show ya Beats 1 inayofanywa na Apple Music kuwa anampenda Wizkid na anaukubali muziki wake.
Alicia Keys amesema kuwa tayari wamerekodi wimbo na Wizkid na ilikua kitu kikubwa sana kwake kuingia studio na Wizzy. Miezi kadhaa iliyopita Alicia Keys aliwahi kupost video fupi kwenye Instagram yake akicheza wimbo wa Ojoulegba kutoka kwa Wizkd.
Alicia Keys alipost picha hii kuonesha amekutana na Wizkid

Producer Swizz Beatz ambaye ni mume wa Alicia Keys akiwa na Wizkid nchi Marekani