Header Ads

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA DAR KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE ZAIBUA MAAJABU ONA HAPA YA LEO LIVE!!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul C. Makonda pia alipata nafasi ya kutembelea daraja linalounganisha kata ya Bonyokwa na Kinyerezi na kuzungumza na wakazi wa kata hizo ukizingatia daraja hilo limeanza kujengwa toka mwaka 2013 mpaka sasa halijaisha ikiwa ni moja kati ya kero ya wananchi wa kata hizo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.