Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa KiumeHatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini.
Diamond na Zari wameonesha furaha kwa ku-share picha za mtoto kwenye mitandao yao ya kijamii...
zarithebosslady: thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok

No comments:

Powered by Blogger.