Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

BELLE 9 Ajibu Mapigo ya Darasa na Diamond Kwa Kishindo


Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.

Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili.

Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu.

Waliokuwa wanasema Belle 9 ana gundu hapa amewakata kauli na kudhiirisha muziki sio umahiri pekee na timing + kuielewa biashara hii.

NB; wimbo huu umetengenezwa kabla ya Salome na Muziki.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.