Header Ads

Bifu la Lady Jay Dee na Clouds Lazikwa Rasmi..Management ya Jay Dee Yaruhusu Clouds Ipige Nyimbo zake Iwezavyo


Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.