Header Ads

Dodoma kutibiwa bure, Waziri Mavunde kubeba jukumu zima

Zoezi la huduma ya macho linaendelea katika Shule ya Darul Muslemeen ambapo mpaka sasa hivi mchana wamejitokeza wananchi 3224.
Wananchi wanapatiwa miwani,dawa, ushauri na mpaka sasa wananchi zaidi ya 100 wameanza kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Nawashukuru sana wananchi wa Dodoma kwa kujitokeza kwa wingi sana kushiriki katika huduma hii ambayo ni ya bure isiyo na gharama yoyote iliyoratibiwa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Taasisi ya Bilal Muslim Mission.
Nakushukuru sana kaka yangu Ridhiwan Kikwete kwa kusaidia kwa nafasi yako jambo hili kufanikiwa.Mungu akubariki sana#DodomaMp

ya#

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.