Header Ads

HARMONIZE Anunua Kiwanja, Ajipanga Kushusha Ghorofa Hili Hapa...Mwanamuziki Harmonize aliyoko chini ya lebo ya Muziki ya WCB Ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram akionyesha kiwanja alichonunua na ramani ya mjengo wa Gorofa anaopanga kuujenga hivi karibuni....
Pichani akiwa na mama yake na madalali wa kiwanja hicho..

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.