Header Ads

HAWA NDIO WASANII WATANO WA HIP HOP ANAOWAKUBALI HUYU MISS TANZANIA 2014 ASIYEKUWA NA SKENDO

Miss Tanzania 2004 Faraja Kotta Nyalandu, jana alikuwa kwenye kipindi cha Papo kwa Papo kinachoruka mubashara kila Jumatano kupitia mtandao wa Youtube.
15306715_1817362528532406_354718604492537856_nFaraja Kota Nyalandu
Kama ilivyokawaida kwenye kipindi hicho, watu huuliza maswali kupitia mtandao wa Twitter na maswali hayo hujibiwa na Mgeni husika wa siku.
Jana moja ya maswali aliyoulizwa ni wasanii gani wa Hip Hop anao wakubali Duniani, nae bila hata kusita aliweka wazi kwa kuwataja mmoja mmoja kwa mtiririko.
Na wasanii aliowataja ni Fid Q ambae alichukuwa nafasi ya kwanza kutoka kwa mrembo huyo na wa Pili ni Marehemu Ngwair wa tatu ni Darassa, Kanye West pamoja na Jay Z. Hao ndio walifunga orodha yake ya wasanii anaowakubali hapa Duniani.
  1. Fid Q
fid_hop_friends-20161111-00012. Ngwair
ngea3. Darassa
darassacmg-20160929-00024.Kanye West
kanyew.est-20161003-00015. Jay Z
jayzfanspot-20161009-0001-Papo kwa Papo na Papi

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.