Header Ads

HICHI NDO KITU DIAMOND PLATNUMZ ANAJIVUNIA MAISHANI MWAKE


Ebhana  Nasibu Abdul A.K.A Diamond Platnumz owner wa record Label iliyosaini dili na record label ya Univesral record ya Marekani,
Tunafahamu pia grafu ya mchizi pia iko vizuri up to now mchizi kama amekwepa mishale mingi sana ila kama mchizi angekuwa lelemama basi tusingekuwa na Diamond huyu.
Akiongea na Perfect255, Diamond platnumz ametufungulia moja ya mambo ambayo anajivunia katika maisha yake ni kwamba muziki wa Bongo fleva umekuwa mkubwa sana, kama ukitazama wakina rymond na Harmonize wanamiezi mitatu lakini wamefanikiwa kutoboa kimataifa

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.