Header Ads

HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEPIGIWA MAGOTI NA WASANII WENZAKE KISA HICHI HAPA


Msanii wa bongo movie Chiki amesema JB hana sababu ya kustaafu kuigiza kwa kuwa ni mtu ambaye bado sanaa inamuhitaji na kuna wasanii wachanga na wakongwe wanamuhitaji kwa ushauri zaidi.

Akiongea kupitia eNewz Chiki amesema anamkumbusha JB kurudi bongo movie kwa kuwa sanaa haina kustaafu na kama kuna malengo ambayo aliyaweka yakawa hayajatimia asikate tamaa arudi kuendeleza chipukizi ambao wanakuwa lakini pia kama malengo yake yametimia basi awasaidie na waliopo chini yake.

Pia Chiki amesema hana mpango wa kustaafu kuigiza kwa kuwa anaamini kuwa kuna mashabiki zake ambao bado wanatamani kuona kazi zake na wanamkubali lakini pia anajipanga ili kuirudisha bongo movie kama zamani.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.