Header Ads

MMILIKI wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Akamatwa na Polisi...Anyimwa DhamanaDAR: Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi kwa kukataa kutoa taarifa za siri za watumiaji wa mtandao huo.

Anyimwa dhamana atakaa rumande mpaka kesho atakapofikishwa mahakamani.

Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa Sheria na Haki za wananchi kufanya hivyo.
http://bongoclicktz.blogspot.com/2016/12/video-photos-dbanj-receives-head-from.html 
http://bongoclicktz.blogspot.com/2016/12/video-photos-dbanj-receives-head-from.html

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.