Header Ads

MREMBO JOKATE MWEGELO AMWANDIKIA UJUMBEE HUU IDRIS SULTAN


Jokate Mwegelo amekuwa na mwaka mzuri upande wa biashara zake huku brand yake ya kidoti ikizidi kufanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.
ameamua kuonyesha jinsi gani amefurahi kuona Idris Sultan anatambulika vizuri nje ya Tanzania ilihali sio mwanamuziki.
Imezoeleka kuonekana mara nyingi wasanii wa muziki ndio wanatambulika na kupewa heshima nje ya Tanzania tofauti na kwa Idris ambaye ni mtangazaji wa redio na mchekeshaji. Idris Sultan amechaguliwa ku host tuzo za fashion  za ASFA huko Uganda Dec9, 2016.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.