Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / MSANII MREMBO RAY C NOMA SANA,UNAAMBIWA KUTIKISA TENA KWENY MZIKI WA BONGO

MSANII MREMBO RAY C NOMA SANA,UNAAMBIWA KUTIKISA TENA KWENY MZIKI WA BONGO

| No comment


 
Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game na tayari ameshafanya ngoma tano na zinatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.
eNewz imezungumza na msemaji wa Wanene Entertainment Gentriez ambapo kwa sasa ndiyo sehemu ambayo Ray C anatengenezea ngoma zake na amefunguka kuhusu maendeleo ya Ray C kimuziki na kusema kuwa kwa sasa maendeleo yake ni mazuri sana na tayari wameweza kutengeneza nyimbo tano za msanii huyo.
“Maendeleo ni mazuri na sasa hivi Ray C tayari ameshatengeneza ngoma nne kama siyo tano ambazo tayari zimekamilika tunasubiri tu ziingie sokoni , baada ya Songa atafata Damian Soul halafu ndio atafuata Ray C”


Wanene Entertainment wameweza kumsaini Damian Soul na wamesema kuwa bado kuna wasanii wengine watafuata akiwemo msanii kutoka Kenya ambapo wamedai kuwa bado wako kwenye mazungumzo.