Header Ads

MSANII TUNDA MAN AFURUGWA NA BABU TALE BAADA YA KUITUPA TIP TOP NA KUINYANYUA WCB

Msanii Tunda Man ametoa ya moyoni kuhusu meneja wake Babu Tale ambaye pia anaisimamia Tip Top, kutokuwa karibu nao kama siku za nyuma.Akizungumza na East Africa Television, Tunda Man amesema ni ukweli usiopingika kuwa Babu Tale haithamini Tip Top kama siku za nyuma, na ni kitendo ambacho kinamuumiza sana msanii huyo.
Pia Tunda Man amesema kitendo cha kutokuwa sawa na Babu Tale ni kitu anachokijutia sana kuwahi kumtokea kwa mwaka 2016.
Tazama video hapo chini Tunda Man akifunguka kuhusu uhusiano wa Tip Top na Babu Tale kwa sasa, kudhulumiwa dili la matangazo na mengine.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.