Header Ads

NAVY Kenzo Wapongezwa Kwa SHOW Nzuri Walioifanya Kenya Tuzo za Pulse Music Video Awards...Baada ya kudondosha show ya kimataifa usiku wa kuamkia leo Wasanii pekee ambao waimeiwakilisha TANZANIA kwenye tuzo kubwa nchini KENYA za PULSE MUSIC VIDEOS AWARD Navy kenzo

Wamepongezwa na zaidi mashabiki 50 kupitia mtandao wa tweeter kwa performance iliyo washangaza watazamaji waliohudhulia tuzo hizo

Wasanii hawa ambao pia ndio walikuwa wasanii pekee wa kimataifa kutoka Tanzania waliozipamba tuzo hizo na kupewa heshima kubwa ya kuperform kwenye show ya Pulse Music Video Awards ambazo ndio awards kubwa Nairobi.na kenya kwa ujumla
Ambazo zimefanyika usiku wa Alhamisi 8 kuamkia leo. Katk ukumbi wa serena NAIROBI

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.