Header Ads

NEY WA MITEGO AFUNGUKA MAMBO MAZITO KUHUSU YOUNG D, SOMA HAPA KUPATA EXCLUSIVE MOTO MOTO


Rapper Nay wa Mitego amedai kuwa amefurahishwa na kitendo cha Young Dee kumkubali mtoto wake Tamar.

Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM Alhamisi hii, Nay amesema, “U
http://bongoclicktz.blogspot.com/2016/12/video-photos-dbanj-receives-head-from.html 
http://bongoclicktz.blogspot.com/2016/12/video-photos-dbanj-receives-head-from.html
kiwa na mtoto akili ya kutafuta inaongezeka, nilifurahi sana kumuona mdogo wangu Young Dee akimkubali mwanae.”

Nay ameongeza kwa kusema, “Mwaka huu nilikuwa kimya tu lakini mipango haikufeli, Pia mimi na Mr T-Touch yalipita nimefanya naye kazi muda mrefu kama ndugu. Siwezi kuongelea mabaya yake hewani, utakuwa ni utoto.”

Rapper huyo kwa sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ambao umetayarishwa kwenye studio zake za Free Nation.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.