Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

PICHA 17: Kijiji ambacho kama huna boti huwezi kwenda hata dukani

Nafahamu tumezoea usafiri wa mabasi au magari tukiwa ndani ya miji ili kwenda sehemu tofauti leo imenifikia hii ya kijiji cha Giethoorn nchini Netherlands  ambapo barabara zao ni maji na boti ndio zinatumika kama usafiri kuzunguka kijijini hapo.
Giethoorn ina wakazi 2,600 na madaraja yapo 180 ambayo ndio kama vituo watu wanaposhuka na kuingia majumbani mwao na pia kutembeleana, kwenda sokoni na sehemu zote unazozifahamu kwa ajili ya maisha ya kila siku.
Nimekuweke picha za kijiji hicho ujionee mazingira yake na jinsi madaraja hayo yalivyotengenezwa kwa kila kituo. 
giethoorn-19-620x413
giethoorn-17-620x465
giethoorn-16-620x414
giethoorn-15-620x348
giethoorn-14-620x465
giethoorn-13-620x438
giethoorn-12-620x465
giethoorn-11-620x413
giethoorn-10-620x826
giethoorn-9-620x420
giethoorn-7-620x465
giethoorn-6-620x469
giethoorn-5-620x356
giethoorn-4-620x317
giethoorn-3-620x243
giethoorn-2-620x364
giethoorn-1-620x356

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.