Header Ads

PICHA: Machinga Waanza Kurudisha Vibanda Vyao Makoroboi MwanzaJana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji.


 Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.