Header Ads

PRINCE MPYA WA DIAMOND KAKA YAKE TIFFAH AZUA HAYA MITANDAONI LEO

MAMA YAKE DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA MJUKUU WAKE MPYA 


KWANZA Blog ya Wananchi inawapa Hongera Diamond Platnum pamoja na Zari the boss kwa kupata zawadi ya kipekee kutoka kwa mwenyezimungu ambayo wengine kwa namna moja au nyengine hushindwa kupata .Lakini hakuna jambo jema ambalo walimwengu wakakosa kutia dosari au kubeza.

katika kheri hii ambayo Diamond Platnumz amejaaliwa kwa siku ya leo  watu mbalimbali kwa lengo la kupongeza lakini wengine wakibeza.

manenno hayo yamepostiwa kwenye mtandoa wa kijamii na kwamba hajasadikika kuwa kweli maneno hayaameyasema idriss Sultani au laa!


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.