Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / RAPPER Chemical Aeleza Kilichokwamisha Movie yake na Wema Sepetu

RAPPER Chemical Aeleza Kilichokwamisha Movie yake na Wema Sepetu

| No comment


Rapper wa kike na mwanafunzi wa UDSM, Chemical leo Dec 22, 2016 ameeleza sababu zilizokwamisha album yake pamoja na movie mpya aliyomshirikisha mwigizaji Wema Sepetu.

Rapper huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>‘Labda naweza kusema nilikuwa nimepanga kuachia album mimi na mwenzangu ila kutoka na mimi kubanwa na masomo chuoni sikuweza kukamilisha album hiyo ambayo sasa hivi ingekuwa madukani’

‘Kitu kingine ambacho nilikuwa nimepanga ni kuachia movie mpya ya Wema ambayo tulikuwa tumepanga kuitoa mwaka 2016 tumeshoot tangu mwezi wa 11 lakini ndio hivyo mambo hayajakamilika kwasababu shule inabana’

‘Kama utakuwa umesikiliza wimbo wangu wa Mary Mary ni wimbo ambao unahusiana na watoto wa mtaani kwahiyo tukaona tuilete kwenye movie ili stori iwe nzuri mtu anapoona kile nilichokiimba kwenye hiyo movie’

KIJANA AELEZEA JINSI ALIVYORUBUNIWA NA MAMA MCHUNGAJI WAFANYA MAPENZI YouTube