Header Ads

STAA DIAMOND PLATNUMZ APATA MTOTO WA PILI


msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili, Zari na Diamond wamepata mtoto wao wa pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Tiffah August 2015.
screen-shot-2016-12-06-at-2-37-07-pm
Zari amejifungua leo saa 10:35 alfajiri katika hospitali ya Netcare  Pretoria South Africalakini Diamond Platnumz amepost kutumia ukurasa wake wa instagram na kueleza furaha yake ila bado hawajampa jina mtoto wao huyo wa kiume.
15276619_237884713300470_5584859280521035776_n
screen-shot-2016-12-06-at-2-50-49-pm-copy

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.