Header Ads

STAA OMMY DIMPOZ ASEMA HAYA BAADA YA DIAMOND KUPATA MTOTO WA PILI

msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amejifungua mtoto wake wa pili.

Soudy Brown amepiga story na Meneja wa Diamond Sallam kuhusu Diamond kupata mtoto, pia amezungumza na Ommy Dimpoz na kumuliza anazungumziaje kuhusu Diamond kupata mtoto…..
>>>’Hayo mambo tushamaliza, mimi nizungumze nini, hayo mambo siwezi kuzungumza kitu chochote kama wamepata mtoto ni baraka zake Mungu na ni jambo la Kheri’

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.