Header Ads

SUGU Aomba Radhi Kwa Familia ya Marehemu Baada ya Gari Lake Kumgonga Mtoto na Kumuua....
Sugu amesema moja ya matukio mabaya kutokea akiwa mbunge ni la kupoteza Neema ambaye ni mkazi wa Mbeya na raia wa Mtanzania.

“Naomba mnisamehe. Kifo hiki kimeniumiza, nawaomba radhi ndugu wanafamilia na wananchi wa Mbeya,” ameeleza Sugu kwenye msiba huo.

Dhahiri Kidavashari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya amesema Gabriel ambaye ni dereva wa Sugu, anashikiliwa na jeshi hilo.


VIDEO:MCHUNGAJI AMFUFUA MTU KANISANI KWAKE DODOMA

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.