Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

UJAMBAZI FNB Bank, Dada Mrembo Adakwa Kwa Ujambazi


Wakuu hii kitu inazunguka sana kwenye "social media",kuwa huyu dada alikuwa mfanyakazi wa FNB,alifukuzwa na baadae kaamua kuingia kwenye mtandao wa majambazi uliotengeneza mchoro kwa kwenda kuiba kwenye bank hiyo.
Mchoro wake uligonga mwamba,na hatimaye polisi kuwathibiti.Binti anaonekana mrembo,mwenye haiba lkn yamemshinda na kuamua kujiripua kwa kuvamia bank....HATARI SANAAAA

No comments:

Powered by Blogger.