Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

VIDEO: Miss Tanzania Diana kaongea ya Miss World 2016 na alichofanyiwa na Miss Kenya

Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.