Header Ads

WIMBO WA TAIFA WA DARASA YAZUA TAFRANI KWA DEREVA,TAZAMA KILICHOMKUTA NUSURA KUUWA ABIRIA,


Yule Dereva aliyepagawa na nyimbo Mpya ya Darasa na kisha kuacha kuendesha Gari na kisha kuanza kucheza mziki huo huku gari hilo likiwa kwenye mwendo akamatwa na Polisi..

Hawa ndio wahusika walio kuwepo kwenye tukio hilo..

Dereva huyo ambaye ameonekana kwenye video akiwa anaendesha gari aina ya Coster ambayo inafanya safari zake Dodoma kwenda itigi akiwa anafanya kitendo cha hatari cha kuacha gari likiwa kwenye mwendo na kisha yeye kusimama na kuanza kucheza muziki huo akamatwa na Polisi na kesho atapandishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazo mkabili yeye pamoja na wenzake ambao alikuwa nao kwenye Gari hilo.
Kama Hujaona Hiyo Video Hii Hapa Chini:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.