Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Hatarii..! Wema Sepetu Aaamua Kulianzisha Kwa Mashoga Zake,Apanga Kuwaumbua Mmoja Baada ya Mwingine

Hatarii..! Wema Sepetu Aaamua Kulianzisha Kwa Mashoga Zake,Apanga Kuwaumbua Mmoja Baada ya Mwingine

| No comment

MALKIA wa filamu na mrembo wa taji la ‘Miss Tanzania’ (2006), Wema Sepetu, amesema atawaumbua mashoga zake wote wenye tabia za kinafiki watakaojaribu kumsogolea kwani ameshawabaini kwa yale wanayomsema.

Wema amesema kwamba, baadhi ya mashoga zake wa karibu wamekuwa wakimchafua kwa kusema kwa sasa hana lolote na amefulia kiuchumi.
Alisema ameamua kukaa kimya bila kuwajibu ili kujipa muda wa kutafakari yaliyomtokea mwaka uliopita kwani amepitia mambo mengi magumu ingawa watu wanajidanganya kwamba amefulia wakati hakuna ukweli.
“Sijafulia na anayefikiria hivyo imekula kwake, natafakari niliyopitia wanafiki nimeshawajua na mwaka huu atakayenisogelea sitaacha kumpasulia ukweli kwani kuna watu wamekuwa wakinitumia kama daraja la kupatia ustaa,” alisema Wema.