Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

HEKAHEKA: Dada asimulia alivyotapeliwa mtandaoni

January 11 2017 kupitia kipindi cha Leo Tena  cha Clouds Fm Geah Habibu ametuletea Hekaheka inayohusu Dada aliyetapeliwa mtandaoni na watu wanaotumia picha za viongozi akiwemo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na mama Salma Kikwete.
Watu hao wametengeneza website ambayo wanadai kuwa wanatoa mkopo kwa muda mfupi, Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori……


ALICHOKIFANYA DARASSA DODOMA, MUNGU ANAMUONA,SHUHUDIA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.