Header Ads

Hivi Ndivyo Obama Alivyomuaga Trump na Kumuachia Ikulu ya Marekani..!!!


Kutoka kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump, Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe Biden, Michelle Obama na Jill Biden wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda helikopta.

obama
Obama na Trump (katikati) wakiekea katika helikopta wakifuatwa nyuma na  Makamu wa Rais Pence na aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden.

obama-exit-17
Safari ya Obama na mke wake ikianza kuelekea katika helikopta.
obama-exit-5
Muonekano wa helikopta hiyo kwa karibu.
obama-exit-21
…Viongozi hao wakiagana.
obama-exit-20
Wakiagana.
obama-exit-19
Trump akiwaaga Wamarekani.
obama-exit-14
Obama akiwaaga kabla ya kuondoka. obama-exit-3
obama-exit-8obama-exit-12

obama-exit-9

obama-exit-13
Wananchi wakichukua tukio hilo kwa picha.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.