Powered by Blogger.
[4] [Tech] [slider-top] [Technology]

Latest Post

HABARI KALI ZA WIKI

[15] [recent] [slider-top] [HABARI KALI ZA WIKI]

Technology

Lifestyle

HABARI ZA BURUDANI

[4] [burudani] [recent] [HABARI ZA BURUDANI]

Sports

VIDEO KALI ZA WIKI

NEW SONG:DIAMOND FT A,K,A

Gallery

Random Posts

Business

Boss Ngasa

Boss Ngasa

Video Of Day

STORI KALI ZA WIKI

[5] [habarimbalimbali] [recent] [STORI KALI ZA WIKI]

Popular Posts

Pages

STAY CONNECTED

[10] [recent] [slider-top-big] [HABARI KALI ZA WIKI]

CONTACT US

SIASA

[4] [siasa] [recent] [HABARI ZA SIASA]

Flicker Images

TUMA UDAKU PICHA AU VIDEO KUPITIA 0716909567

Facebook

About US

Advertisements

Entertainment

Follow US

You are here: Home / Lowassaa Akamatwa na Polisi Akiwa Mkutanoni,Kisa Ni Kusema Nchi Ina Njaa..!!!

Lowassaa Akamatwa na Polisi Akiwa Mkutanoni,Kisa Ni Kusema Nchi Ina Njaa..!!!

| No comment


Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Edward Lowassa na mbunge wa Geita (M) Viti maalum Upendo Peneza wamekamatwa Geita mjini. Kwa sasa wako kituo cha polisi...


Kosa ni Mh. Lowassa na Upendo kusalimiana na wananchi wakiwa njiani kuelekea katika kampeni kata ya Nkome, Geita vijijini

Ikumbukwe Ni siku ya Ijumaa Mh. Peneza alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana, kwa kosa la kusema kuna njaa nchini, hivyo serikali ichukue hatua za haraka kusaudia wananchi. Leo kakamatwa tena. Na pia, siku hiyo hiyo Mh. Mnyika, Katambi na wengine 3 walikamatwa hapo hapo Geita Mjini

Taarifa zaidi zitaendelea kuja.....