Header Ads

https://www.youtube.com/channel/UCERjz5nmYNOtG_WBi-1S4xA

MH ANTHONY MAVUNDE WAZIRI WA MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI, AKABIDHI VITANDA NA VYANDARUA MKOANI DODOMA

Image may contain: 2 people, people sitting and people standingHafla ya kukabidhi vitanda 20 vya hospitali na vyandarua 20 vyenye thamani ya Tsh 3,500,000 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Ndg Kunambi kwa ajili ya Vituo vya Afya na Zahanati ndani ya jimbo la Dodoma Mjini.Image may contain: 4 people
Ninaamini kupitia vitanda hivi,tutasaidia kupunguza changamoto ya upungufu wa vitanda kwa asilimia 70 katika zahanati zetu na hivyo kuboresha huduma hii ya Afya katika Manispaa ya Dodoma.
Pia nawashukuru kipekee madiwani,Mstahiki Meya Jaffar Mwanyemba na Mkurugenzi wa Manispaa Ndg Kunambi kwa kuridhia manunuzi ya magodoro yatakayotumika katika vitanda hivyo.
De populo servorum "Mtumishi wa watu"Image may contain: 3 people, people sitting

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.