Header Ads

MOSE IYOBO AJITETEA KUHUSU KAULI YAKE YA KUMWITA HARMORAPA NYANI

Moja kati ya story ambazo zimetrend kinoma noma kuanzia asubuhi ya jana mpaka leo hii ni kuhusu kauli ya dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo kumwita Harmorapa Nyani

Kauli ambayo ilichukuliwa kama udhalilishaji kwa rapper huyo na kuwafanya wengi kumtolea mapovu dancer huyo na wengine  kufika mbali zaidi hadi kumfananisha na Sokwe.
Soudy Brown ameamua kupiga story na Mose iyobo na kujua nini kilijiri mpaka kutokea kwa  yote hayo, je ni account yake ilihakiwa? Au ni nini kilitokea? Majibu yote yapo kwenye U-heard ya leo January 30 ambayo nimeikusanya na kukuwekea hapa kwenye video hii hapa chini.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.