Header Ads

P-Funk: Yule Angekuwa Binti Yangu Kwenye ile Video..Ningemzibua Mtaro Aliyemfanyia Kitendo Hicho,

Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula.

"Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti yangu. Yaani angekuwa mwanangu ungeona video mbili , ya binti yangu na ya yule jamaa nae akiwa analiwa, yaani watu wanazibua mtaro".

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.