Header Ads

SOMA HAPA KUJUA MAMBO KADHAA USIYOYAFAHAMU KUHUSU ZARI THE BOSS LADY

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady.Kwa mujibu wa jarida la linalodili na habari za showbiz (biashara ya shoo) la E-Vibe la nchini Uganda la hivi karibuni, anadaiwa kuwa ‘klozi’ na idadi hiyo ndefu ya wanaume.Stori:
Sifael Paul
Ingawa mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, anadaiwa kuwa na mtungo mrefu wa wanaume ambapo kama ni kweli anatoka na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ basi jamaa huyo atakuwa anashika nambari 13.

Jarida hilo lilieleza kwamba ndani ya kipindi cha miaka 14 baada ya kutimiza umri wa mtu mzima wa miaka 18, Zari mwenye umri wa miaka 32 sasa, ameshajiachia na wanaume wa kada mbalimbali wakiwemo vigogo serikalini, wafanyabiashara, mastaa wa tasnia mbalimbali na hata vijana wadogo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.